Famine Situation In Tanzania

Famine Situation In Tanzania

Kutokana na kukosekana kwa mvua katika baadhi ya maeneo mengi nchini Tanzania imekumbwa na upungufu wa chakula na kupelekea familia nyingi kukoswa chakula.

Hivyo kanisa la Methodist kupitia kitengo cha maafa na majanga limeamua kutoa chakula kwa kipindi cha Pasaka ili jamii na wanakanisa waweze kusherekea sikukuu ya pasaka kwa furaha.

Hapo chini baadhi ya familia wakipokea chakula. 

 

share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »